>

Watu sita zaidi wapatikana na virusi vya Ebola Uganda

2 weeks ago 22
SHARE THIS POST


Watu sita zaidi wameambukizwa virusi vya Ebola nchini Uganda huku hofu ikiwagubika wakaazi wa maeneo ya mpakani hapa nchini. Hata hivyo, tayari maafisa wa uhamiaji na wale wa afya maeneo ya mpakani wamejitahidi kukagua uwezekano wa virusi vya Ebola. Ukaguzi huu ukifuatia taarifa ya waziri wa afya Mutahi Kagwe hapo jana kuwa Kenya iko kwenye hali ya tahadhari kufuatia virusi hivyo vya Ebola
Source : Kenya CitizenTV

SHARE THIS POST