"Watoto wanalia kwa njaa wakiona hakuna maziwa"

3 months ago 56


Huko Kaskazini mwa Nigeria, watoto milioni 4.4 chini ya miaka mitano wana utapiamlo, hiyo ni zaidi ya mara mbili ya takwimu za mwaka jana, Kwa mujibu wa shirika la Mpango wa Chakula Duniani. Familia zinakabiliwa na mfumuko mkubwa wa bei za vyakula na uhalifu na wengi hawawezi tena kumudu kulisha watoto wao kama walivyokuwa wakifanya. #bbcswahili #nigeria #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Source : BBC Swahili

SHARE THIS POST