Wapalestina wateseka na njaa

2 months ago 299


Wapalestina waliokimbia makazi yao huko Gaza wanatamani sana kupata chakula. Wengi hupanga foleni kwa muda mrefu kila siku ili tu kupata mkate. Shirika la Mpango wa Chakula Duniani linasema halijaweza kuwafikia wale wanaohitaji msaada muhimu: "Maelfu katika maeneo ya kaskazini waliokatishwa tamaa kabisa na wanakabiliwa na hali mbaya sana." #kurunzi #shorts
Source : DW Kiswahili

SHARE THIS POST