WANANCHI WANAKUNYWA MAJI MACHAFU YA BWAWANI DODOMA

1 week ago 51


Baadhi ya wananchi wanaoishi kijiji cha Makutupa kilichopo Wilaya ya Kongwa huko mkoani Dodoma wanalazimika kuyakimbia makazi yao kipindi cha kiangazi na kuhamia vijiji vingine kutokana na shida ya maji iliopo kwenye kijiji hicho. Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg
Source : ITV

SHARE THIS POST