>

Wafanyibiashara wa juakali wadai kutambuliwa Malindi

1 week ago 38


Wanafanyibiashara hao wanaitaka serikali kuwapa sehemu bora ya kufanyia kazi zao za kila siku. wafanyibiashara hao walitoa malalamishi yao katika hafla iliyoandaliwa na wizara ya viwanda ambapo walipewa vifaa vya kisasa vya kufanyia kazi ili kujiendeleza na na kukuza biashara zao.
Source : Kenya CitizenTV

SHARE THIS POST