>

Wadau wa uchukuzi wa bandari waandamana Mombasa

1 month ago 47
SHARE THIS POST


Mawakala na Wadau katika sekta ya uchukuzi wanamtaka Rais William Ruto kubuni jopo maalum la kuchunguza ni kwanini mizigo inayofaa kupakuliwa katika bandari ya mombasa bado inasafirishwa kwa lazima kupitia reli ya SGR hadi Naivasha.Wadau hao wanalalamika kuwa Shehena zinazoelekea Sudan kusini zinasafirishwa kwa SGR pasina idhini ya wafanyibiashara.
Source : Kenya CitizenTV

SHARE THIS POST