Vuguvugu la kuiweka Kenya huru
Wakati wa maandamano ya kizazi cha GenZ nchini Kenya, vijana kadhaa wanadaiwa kutekwa na vikosi vya kiintelijensia vya polisi. Kwa sasa wahanga wanapaza sauti zao kuitaka serikali iwachukulie hatua maafisa katika vikosi vyake vya usalama.