VITASA | Mussa Mareges vs Seleman Kidunda | CDF CUP 27/07/2024

5 months ago 257


Tazama jinsi bondia Seleman Kidunda alivyoibuka na ushindi wa pointi dhidi ya Mussa Mareges, pambano la raundi tatu..... Ni katika mashindano ya majeshi Tanzania #CDFCup2024 , vitasa vikipigwa kambi ya Twalipo, Dar es Salaam.
Source : AzamTV

SHARE THIS POST