VITASA | Idd Athuman vs Mtemi Ramadhan | CDF Cup 27/07/2024

5 months ago 401


Kutoka Kamandi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Idd Athuman amepata ushindi wa pointi dhidi ya Mtemi Ramadhan. Ni katika mashindano ya majeshi Tanzania #CDFCup2024 , vitasa vikipigwa kambi ya Twalipo, Dar es Salaam.
Source : AzamTV

SHARE THIS POST