VITASA | Haji Kudra vs Aziz Chora | CDF Cup 27/07/2024

5 months ago 412


Kwenye pambano hili Aziz Chora kutoka Kamandi ya Makao Makuu, alimshinda Haji Kudra kwa pointi. Ni katika mashindano ya majeshi Tanzania #CDFCup2024 , vitasa vikipigwa kambi ya Twalipo, Dar es Salaam.
Source : AzamTV

SHARE THIS POST