Vijana Mchakamchaka

2 months ago 34


Je umeshawahi kutuma picha yako mtandaoni na baada ya muda ukaanza kushambuliwa na vijana wenzako, kutokana na namna unavyoonekana kiumri au kimwili? Katika Makala hii ya vijana Mchakamchaka, Amina Abubakar anazungumzia hilo, unyanyapaa wa watu kiumri na kimuonekano mitandaoni.
Source : DW Kiswahili

SHARE THIS POST