Video ya harusi iliyopotea miaka 57 iliyopita yapatikana

3 months ago 34


Wanandoa nchini Australia wamekabidhiwa tena picha zao za harusi zilizopotea miaka 57 iliyopita baada ya kupatikana kwa bahati mbaya. Aileen na Bill Turnbull walifunga ndoa huko Aberdeen, kaskazini-mashariki mwa Scotland, mwaka wa 1967, na baadaye wakahama eneo hilo bila video hiyo. Picha hizo zilipatikana baada ya mwanaume mmoja huko Aberdeen kuhamisha video hizo za zamani kwenye DVD na baadaye kuchapisha kwenye mtandao wa kijamii. #bbcswahili #australia #teknolojia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Source : BBC Swahili

SHARE THIS POST