UTACHEKA MWANANCHI ALIVYOBANA WAZIRI BITEKO "MNAKATAKATA TU UMEME"

1 week ago 170


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesimulia kisa cha mteja wa TANESCO Mbagala aliyefarijika baada ya kuelimishwa kuhusu changamoto za upatikanaji wa umeme. Dkt. Biteko ametoa simulizi hiyo Jijini Dar es Salaam hivi karibuni wakati akifungua Kongamano la Majadiliano ya Biashara na Uwekezaji kati ya Serikali na Sekta Binafsi Mwaka 2024 na Mkutano Mkuu wa 49 wa Mwaka 2024 wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA).
Source : ITV

SHARE THIS POST