Unataka kujua nini juu ya uhusiano wa Ujerumani na Marekani?

1 month ago 284


Rais wa Marekani Joe Biden alizuru Ujerumani, huku kukiwa na vita vinavyoendelea, migogoro ya kimaeneo na uchaguzi wa Marekani ukikaribia. Je, hali ya uhusiano wa Marekani na Ujerumani kwa mwaka 2024 ikoje?#kurunzi #shorts
Source : DW Kiswahili

SHARE THIS POST