Ukweaji washika kasi Nairobi

2 months ago 547


Unaweza kuupiga moyo konde na kuukwea mlima mrefu zaidi duniani, Mlima Everest? Basi kijana mmoja huko Nairobi alifanya hivyo na anawahamasisha wengine pia. tazama video hii.
Source : DW Kiswahili

SHARE THIS POST