Ukitengenezea Familia Yako Hii Keki Watakushukuru Sana πŸ˜‹ Cinammon swirl cake by mapishi Rahisi

3 months ago 36


Cinnamon swirl cake / Cake ya mdalasini Mahitaji: ΒΎ cup siagi ΒΎ cup sukari 3 mayai 2 tsp vanilla 1 & Β½ cup unga 2 tsp baking powder ΒΌ cup siagi iliyoyeyushwa ΒΌ cup sukari ya brown 1 tbsp mdalasini 3 tbsp unga wa ngano Baking tin 8 inch
Source : Mapishi

SHARE THIS POST