Uchambuzi wa Michezo: Bayern Munich wakaribia ubingwa wa Bundesliga Ujerumani? | DW Kiswahili
Kila dalili zinaonyesha Bayern Munich inaelekea kushinda taji lake la 34 la Bundesliga. Walitoka nyuma 1-0 dhidi ya Ausgburg na kuitandika 3-1 na kwenda alama sita mbele ya wapinzani wao wa karibu Bayer Leverkusen. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast #michezo Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.