TOYOTA CUP: Rais Yanga alitoa kombe la Toyota kwa Rais Samia, aeleza sababu

5 months ago 410


#ToyotaCup: “…mama kombe hili ni kwa ajili yako” - Rais wa Yanga, Hersi Said analitoa kombe la Toyota waliloshinda leo kwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. FT: Kaizer Chiefs 0-4 Yanga SC (Dube 25’, Aziz Ki 45’+3, 63’, Mzize 57’) Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #ToyotaCup2024 #YangaSC #KaizerChiefs #KaizerChiefsYanga #PreSeasonTour
Source : AzamTV

SHARE THIS POST