Tazama mtoto wa miaka kumi akiendesha gari alilotoroka nalo
Polisi wa Minneapolis nchini Marekani wamemkamata mtoto wa miaka 10 kwa kuendesha gari aliloiba na kupita nalo kwa kasi katika uwanja wa michezo wa shule ambapo watoto walikuwa wakicheza. Tukio hilo lilitokea Septemba 20, ambapo mtoto huyo sasa anakabiliwa na mashtaka ya jinai.. Rekodi za polisi zinaonyesha mtoto huyo ana zaidi ya makosa 30 ya awali, ikiwa ni pamoja na kuiba magari. Familia yake inashirikiana na mamlaka ili kuzuia madhara zaidi. #bbcswahili #marekani #watoto Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw