SPORTS AM | Amsha amsha za Cliford Ndimbo wa TFF kuelekea Taifa Stars vs Congo DR

3 months ago 317


Ni Afisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Cliford Ndimbo akiambatana na kikundi cha hamasa cha Taifa Stars Supporters ndani ya kipindi cha #SportsAM cha leo Oktoba 12, 2024. Pamoja na kuonesha uwezo wake wa kucheza ngoma.... Ndimbo ameeleza mengi kuhusu maandalizi na kambi ya Taifa Stars kuelekea mchezo wa marudiano kusaka tiketi ya kufuzu AFCON 2024.
Source : AzamTV

SHARE THIS POST