Shangwe la mashabiki wa Yanga tawi la hamazi Center Dar es Salaam

5 months ago 253


Tazama shangwe la mashabiki wa Yanga, tawi la Chamazi Center, Dar es Salaam ikiwa ni shamrashamra za kuelekea #WikiYaMwananchi ambayo kilele chake ni Agosti 4. Shabiki nguli wa timu hiyo, Mzee Mpili amewatuma kazi wale ambao watakwenda Benjamin Mkapa kwenye #SimbaDay. #YangaSC #Yanga
Source : AzamTV

SHARE THIS POST