Shabiki Yanga aahidi kuchinja ng'ombe wakiifunga Simba Oktoba 19

3 months ago 42


"Tunawapiga tano” maneno ya shabiki wa Yanga kutoka Temeke Stendi akiahidi kuibuka na ushindi kwenye mechi ya #DerbyYaKariakoo itakayopigwa Oktoba 19, 2024 katika dimba la Benjamin Mkapa. Kondakta wa daladala ambaye ni shabiki wa Simba afika kujibu mapigo akiwa kwenye sare zake za kazi Mechi itapigwa saa 11:00 jioni #KarikooDerby #SimbaVsYanga #SimbaSC #YangaSC
Source : AzamTV

SHARE THIS POST