Shabiki Simba SC akumbuka ushindi wa goli tano, kipigo cha goli tano

3 months ago 35


“Alishaanza kufa yeye chuma tano pale” maneno ya shabiki wa Simba, Mohamed Magimba ‘Momo Kijuso’ ambaye anasema Oktoba 19, 2024 Yanga hawatoki huku akikumbushia wao walivyowafunga Wananchi magoli matano mwaka 2012. #KarikooDerby #SimbaVsYanga #SimbaSC #YangaSC
Source : AzamTV

SHARE THIS POST