RUBY NI MAMA MTOTO WANGU TU HAMNA KINGINE | NILIPATA UPOFU NIKIWA NA MIEZI TISA
@godfreymteule6 amesimulia namna alivyopata upofu akiwa na miezi tisa kwasababu walikosa uwezo wa kuendelea na matibabu, pia ameonyesha imani yake kubwa kwa Mungu kuwa atafanya kitu sikumoja na ataweza kuona tena. #XXLyaCloudsFm Kutokana na yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii, @_kusah_ ametolea ufafanuzi swala la yeye kutokumuhudumia mtoto wake, amefunguka na kusema sio kweli. XXLyaCloudsFm #Tunachanakalenda