POST: MTENDAJI WA KIJIJI III - 6 POST

3 days ago 67

POST: MTENDAJI WA KIJIJI III - 6 POST

EMPLOYER: Halmashauri ya wilaya ya Kilosa

APPLICATION TIMELINE:: 2024-10-05 2024-10-14

JOB SUMMARY: NIL

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  • Afisa Masuuli na mtendaji mkuu wa serikali ya kijiji
  • Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao, kuwa mlinzi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika kijiji
  • Kuratibu na kusimamia upangaji wa mipango ya maendeleo ya kijiji
  • Katibu wa mikutano na kamati zote za Halmashauri ya kijiji
  • Kutafsiri na Kusimamia Sera, Sheria na Taratibu
  • Kuandaa taarifa ya utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali
  • Kiongozi wa wakuu wa vitengo vya klitaalam katika kijiji
  • Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za kijiji
  • Mwenyekiti wa kikao cha wataalam waliopo katika kijiji
  • Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi
  • Kusimamia utungaji wa Sheria Ndogo za kijiji
  • na  Atawajibika kwa Mtendaji Mkuu wa Kata.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: TGS B

Apply Now

Source : Ajira Portal

SHARE THIS POST