POST: DEREVA DARAJA II - 4 POST

2 months ago 330

POST: DEREVA DARAJA II - 4 POST

EMPLOYER: Halmashauri ya wilaya ya Kilosa

APPLICATION TIMELINE:: 2024-10-05 2024-10-14

JOB SUMMARY: NIL

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  • Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari
  • Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi
  • Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari
  • Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali
  • Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari
  • Kufanya usafi wa gari
  • na Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. 

REMUNERATION: TGS B

Apply Now

Source : Ajira Portal

SHARE THIS POST