Pika MKATE WA MAYAI Yako Hivi Utapenda! Inakuwa spongy na laini kama pamba!

4 weeks ago 106


Mahitaji kikombe kimoja mayai nusu kikombe sukari kikombe kimoja unga wa ngano ½ kijiko kidogo iliki 1 kijiko kidogo vanilla kikombe nilichotumia ni 250ml
Source : Mapishi

SHARE THIS POST