'Pesa niliyowahi kulipwa ni shilingi 30,000 (dola 11 za Kimarekani)'

1 month ago 17


Monica mwakasanga ndiye mwanamke wa kwanza kucheza ngumi za kulipwa nchni Tanzania. Aliingia ulingoni kwa mara ya kwanza mwaka 2000 na kustaafu mwaka 2012 akiwa amepigana mapambano 68 na kupoteza mapambano matano pekee. Kwa sasa Monica ni Mwamuzi wa Masumbwi nchini Tanzania lakini pia ni kocha wa mchezo huo. Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds alimtembelea nyumbani kwake na kuandaa taarifa hii #bbcswahili #tanzania #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Source : BBC Swahili

SHARE THIS POST