Ni ipi hatma ya mzozo wa mashariki mwa Kongo?

2 months ago 312


Vita dhidi ya waasi wa M23 na vikosi vya serikali ya Kongo bado vinaendelea Mashariki mwa Kongo na bado hakuna dalili za kumalizika kwa mzozo huo?. Ni kipi unadhani kifanyike kumaliza mzozo huu? Tujadili japa kwenye maoni? #dwkiswahili #VitaDRC #drcongo #M23 #warzone #dwtunavuma #shortsvideo
Source : DW Kiswahili

SHARE THIS POST