Mustakabali wa Ujerumani utakuwaje?

1 month ago 200


Serikali ya mseto Ujerumani imeporomoka. Tayari kumeshaitishwa kura ya imani bungeni mwezi Disemba na uchaguzi mkuu wa mapema utakuwa mwezi Februari 2025. Uwezekano wa Kansela Olaf Scholz kurejea madarakani unatiliwa mashaka. Je, kuna nini kwenye siasa za Ujerumani? Mustakabali wa nchi hiyo kubwa kiuchumi barani Ulaya ni upi? Karibu usikilize tathmini ya wachambuzi kuhusu hayo na mengine mengi kwenye kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara. Nahodha wa zamu ni Mohammed Khelef.
Source : DW Kiswahili

SHARE THIS POST