MTOTO JOSEPHY MAPUNDA AMEPOTEA/ ANATAFUTWA

9 months ago 85


Mtoto Anaetambulika Kwa Jina La Josephy Wilson Mapunda Mwenye Umri Wa Miaka 10 Anaesoma Darasa La 3 Amepotea Kwenye Mazingira Ya Kutatanisha Eneo Bomba Mbili Kwa yeyote atakayemuona,atoe taarifa kituo chochote cha polisi.Au Tupigie Simu. 0658 338878
Source : Geah Habibu

SHARE THIS POST