Msichana Jasiri - Mwelimishaji vijana kupitia maandishi

1 week ago 170


Doroth ni binti aliyeandika kitabu kinachoangazia masuala muhimu yanayowahusu vijana, kama vile kujitambua, uongozi, na kufanikisha malengo ya maisha. Doroth anaamini kuwa elimu na maarifa ni nyenzo muhimu kwa kizazi cha sasa ili kuunda jamii yenye maarifa na kujenga utamaduni wa watu kusoma vitabu na kupata taarifa sahihi. Kitabu chake kimekuwa chanzo cha motisha kwa vijana wengi, kuwahamasisha kuchukua hatua za kuboresha maisha yao. Mwandishi chipukizi Mitchelle Ceaser amekutana na Doroth kusikiliza ndoto na maono yake. Tizama na utuachie maoni.
Source : DW Kiswahili

SHARE THIS POST