Msako wa 'dhahabu' Namayingo, Uganda

2 months ago 409


Wakaazi wa Namayingo nchini Uganda na hata majirani zao, wako mbioni kuchimba ardhi wanayodhani na kuamini ina madini yenye thamani kubwa 'dhahabu'. Emmanuel Lubega anaangazia msako huo wa dhahabu na hatari zake. #Kurunzi
Source : DW Kiswahili

SHARE THIS POST