MLINZI MBARONI KWA KUFUNGIA WANAFUNZI KWENYE KONTENA, MTWARA

1 week ago 46


Mlinzi aliyefahamika kwa jina moja la Yussuf, mwenye umri wa miaka 27, kutoka Manispaa ya Mtwara/Mikindani mkoani Mtwara, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kuwafungia ndani ya konteina wanafunzi 17 wa shule ya Msingi Muungano kwa zaidi ya saa 3, kwa madai ya kuangusha embe changa maarufu ndolo kwenye miembe yaliyokaribu na shule hiyo.
Source : ITV

SHARE THIS POST