Misukosuko inayomkabili Naibu wa Rais Rigathi Gachagua ndio anguko lake au?
Katika kipindi cha Maoni Mbele ya Meza ya Duara wiki hii utapata ufahamu wa mawazo ya uchambuzi kuhusu hatma ya Naibu wa Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua baada ya michakato na juhudi kadhaa za zenye kulenga kumuondoa katika wadhfa wake. Zaidi ungana na Josephat Charo.