>

Mipango ya kudhibiti dhuluma za kijinsia Samburu yazinduliwa rasmi

2 weeks ago 35
SHARE THIS POST


Mipango iliyoanzishwa mwaka uliopita kumaliza dhuluma za kijinsia ikiwemo tohara ya kike na ndoa za mapema miongoni mwa wasichana katika kaunti ya Samburu imezinduliwa rasmi. Serikali kuu kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Samburu zimehimizwa kushirikiana ili kuhakikisha kwamba mipango hiyo inatekelezwa kuhakikisha usawa wa kijinsia kabla ya mwaka wa elfu mbili na thelathini. Msaidizi wa kamishna wa kaunti ya Samburu Murage Mushira amesema serikali kuu iko imara kutekeleza mipango hiyo .
Source : Kenya CitizenTV

SHARE THIS POST