Mfahamu msichana mwalimu wa biashara
Salma ni msichana wa miaka 22 ambaye amekuwa akiwafundisha vijana namna ya kuanzisha biashara na kuziendeleza. Hata hivyo, si rahisi kwa baadhi yao kumuelewa lakini bado anamatumaini makubwa ya kufikia kundi kubwa la vijana, ili kuhakikisha kuwa wanajikwamua katika ajira na kuishi katika ndoto zao. #msichanajasiri #Salmabungile