Maroboti wachukua kazi za viwandani

2 months ago 303


Kampuni kubwa kama Mercedes-Benz na Amazon tayari zimeanza kutumia maroboti. Maroboti yanafanya kazi ngumu na za mara kwa mara. Lakini je maroboti hayo yanaweza kuchukua majukumu ya binaadamu hivi karibuni?
Source : DW Kiswahili

SHARE THIS POST