Mapishi Ya CHEESE BALLS tamu sana - 🌙Ramadan special recipes🌙

1 month ago 107


Assalamu aleikum. Recipe ya leo ni ya Cheese Balls. Ni nzuri sana na rahisi kutengeneza. Na pia ni nzuri sana wakati wa ramadhan Mahitaji: 2 cups flour / Unga 3/4 cup warm milk / Maziwa 1/2 tbsp yeast / Hamira 1 tbsp sugar / Sukari 1 & 1/2 tbsp oil / Mafuta Triangle cheese / Jibini za pembe tatu Vermicelli Milk sweetened condensed milk
Source : Mapishi

SHARE THIS POST