LIVE:ZINATOKA ZIMECHOKA SANANA ZIMEZEEKA SANA .... ? #KIBUBU

2 months ago 365


Kura zinapigwa leo juu ya utenguzi wa matumizi ya Vibubu vya kuhifadhia noti na sarafu, na kuteua mifumo rasmi ya kuhifadhi fedha kibenk baada ya kubainika kuwa vibubu vimekuwa chanzo cha kuchakaza fedha na kuzitoa kwenye mzunguko. Changamoto zipi za vibubu zimewahi kukukuta? Nini maoni yako, kitenguliwe au tuendelee na matumizi? #Leotena #UtenguziWaVibubu #cloudsdigital#leotena #tumekuverify
Source : Clouds Media

SHARE THIS POST