LIVE: NEWS FLASH OCTOBER 31,2024 NA MAHIJA ZAYUMBA
#cloudsdigital#cloudsfm#tumekuverify NEWS FLASH HEADLINES * “Mkitaka kuchukua Maeneo ya Wananchi kuwekeza kwanza andaeni fidia” Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA amewapasha Wawekezaji. * Tembo wanaovamia mashamba ya Korosho wilaya ya Liwale mkoani Lindi, kisha kula Korosho na mabibo, wanadaiwa kulewa wakiwa kwenye mashamba hayo kisha kuwa wakali na kutishia usalama wa wakulima. * “Riggy G” Rigathi Gachagua Naibu Rais wa Kenya aliyetimuliwa amegonga Mwamba kwa mara nyingine tena kwenye harakati zake za kukataa Kuondolewa madarakani. Sauti ya Malkia wa Nguvu @zayumba_m ndio yenye Mamlaka kwenye jioni za Taarifa kupitia News Flash ya Radio Ya Watu @CloudsFmtz. #CloudsFmNewsFlash #Tumekuverify