LIVE: NEWS FLASH OCTOBER 11, 2024 NA SOPHIA KESSY

2 weeks ago 8


NEWS FLASH HEADLINES Rais SAMIA ahimiza wananchi kujiandikisha katika daftari la Mpiga Kura Leo ni maadhimisho ya siku ya kimataifa ya mtoto wa kike wazazi wapenda MAHARI kuendesha maisha Yao waonywa Watoto wenye ulemavu Mkoani Mara wachukizwa na vitendo vya ukatili dhidi yao Utafiti waonesha Afrika kupoteza dola bilioni 4.2 kila Mwaka baada ya vyombo vya Habari vya Ulaya kuitangaza vibaya Afrika Jioni hii utakua naye @Sophiakessytz ambaye ana mamlaka ya kufungua mkebe wa Taarifa hizo na nyingine kupitia News Flash ya Radio ya Watu @cloudsfmtz kuanzia 12 kamili jioni...
Source : Clouds Media

SHARE THIS POST