LIVE: NDANI YA NJIA PANDA YA CLOUDS NA PROFESA KARIMU PREMJI MANJI
Anaitwa Profesa Karim Premji Manji, profesa wa juu kabisa (Professor Emeritus) aliyejikita kwenye eneo la afya ya watoto kutoka Chuo cha Afya na Tiba cha Muhimbili (MUHAS). Amefanya kazi kubwa mno kwenye eneo la tafiti za afya kwa watoto ikiwemo kuhusu Usonji.