LIVE: LEO TENA YA CLOUDS FM | JUMATATA YA VIPASEL.....?

2 months ago 299


Ni Jumatatu ya mgao wa zawadi za Korosho kwa wasikilizaji wa #LeoTena,m baada ya @dahuuofficial @geahhabib na @josemarah kurejea kutoka kwenye kilele cha #MalkiaWaNguvu2024 Mtwara. Jina lako linawezwa kutajwa na watangazaji wa LT hivyo sikiliza kwa umakini na ukijisikia sogea mjengoni na kuchukua zawadi yako ya korosho. #JumatatuYaVipasel #MgaoWaKorosho #WekaTuweke
Source : Clouds Media

SHARE THIS POST