LIVE: KIJUMBE KATOROKA NA MZIGO.......? | TEAM YA LEOTENA KUMALIZA UTATA WOTE NDANI YA MJENGO |

1 month ago 297


Hali kama hii inapojitokeza wanakikundi mnakuwa na hali gani..? imewahi kukutokea na ilikuwaje..? Oct 31 ni siku ya akiba duniani ambapo leo kwenye Leotena tutakuwa na issue ya vikoba na upatu mezani.. usikose kuanzia saa nne kamili asbuhi inakuhusu hii. #VikobaNaUpatu #SikuYaAkibaDuniani #Leotena#cloudsdigital#cloudsfm#tumekuverify
Source : Clouds Media

SHARE THIS POST