LIVE: CLOUDS 360 KIKAONI NA G-55 I WANA HOJA GANI..? I NANI YUPO N YUMA YAO I 08.4.2025

1 week ago 158


Kuelekea kwenye uchaguzi 2025 mambo mengi yanatokea katika vyama kuna wengine watakubali hoja na kuna wengine wanapinga hoja ya kiongozi au viongozi, leo kwenye kipindi cha #atikaClouds360 tutakuwa na makamanda wa G55 ndani ya Chadema Bwn: Julius Mwita - Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya Kamati Kuu ya Chadema
Source : Clouds Media

SHARE THIS POST