Kutengeneza MAZIWA MAZITO/CONDENSED MILK ndani ya dakika MBILI Bila kupika❗️

1 day ago 17


Jinsi ya kutengeneza maziwa mazito bila kupika Mahitaji Kikombe 1 na nusu maziwa ya unga Kikombe 1 na nusu sukari Kikombe kasorobo maji ya moto Vijiko 2 vikubwa siagi Blend kila kitu dakika mbili ama mpaka sukari iyeyuke. Wacha ipoe. Na maziwa yako mazito ama Condensed milk yako iko tayari. Enjoy!
Source : Mapishi

SHARE THIS POST