Kutana na Benchikha wa Temeke akiichambua mechi ya Taifa Stars dhidi ya DR Congo

3 months ago 34


Kutana na Benchikha wa Temeke Stendi karibu na Hospitali ya Rufaa akiuchambua ‘kiufundi’ mchezo wa #KufuzuAFCON2025 uliopigwa jijini Kinshasa DR Congo na maoni yake kuelekea mchezo wa Oktoba 15, 2024. Shabiki mwingine kutoka eneo hilo Momo Kijuso anasema Jumanne haitakiwa mambo ya ‘usimba wa la uyanga’ Taifa Stars itaikaribisha DR Congo Jumanne ya Oktoba 15, 2024 saa 10:00 jioni katika dimba la Benjamin Mkapa. #KufuzuAFCON2025 #AFCONQ2025 #MtoCongo #TaifaStars #Tanzania #CongoDR #DRCongo #TanzaniaCongoDR #TanzaniaDRC
Source : AzamTV

SHARE THIS POST