KURASA MWISHO 12/10/2024 | Yasemavyo magazeti kuhusu Taifa Stars na Kariakoo Derby (Mjadala)

3 months ago 304


Taifa Stars inakabiliwa na mchezo wa marudiano kuwania kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Congo DR utakaochezwa Oktoba 15 jijini Dar es Salaam..... Wakati huohuo Simba na Yanga zinakutana kwenye #KariakooDerby Jumamosi ya Oktoba 19. Je, magazeti yameandika nini kuhusu matukio haya mawili... Ndani ya studio ni magwiji kwenye tasnia ya habari za michezo wakiongozwa na Philip Cyprian, Charles Abel na Jabir....
Source : AzamTV

SHARE THIS POST