Kufuzu AFCON 2025 | Mchambuzi Rashid Hamis akoshwa na kiwango cha Taifa Stars

3 months ago 32


“Jana timu ilicheza vizuri” maneno ya mchambuzi wa soka Rashid Hamis akizungumzia kiwango kilichooneshwa na Taifa Stars jana kwenye mchezo wa #KufuzuAFCON2025 dhidi ya DR Congo. Timu hizo zitarudiana Jumanne ya Oktoba Oktoba 15, 2024 saa 10:00 jioni katika dimba la Benjamin Mkapa. #KufuzuAFCON2025 #AFCONQ2025 #MtoCongo #TaifaStars #Tanzania #CongoDR #DRCongo #CongoDRTanzania #DRCTanzania
Source : AzamTV

SHARE THIS POST